Rais Kikwete katika shughuli ya kumbukumbu ya mzee Nelson Mandela nchini Afrika kusini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha viongozi mbalimbali wa Afrika kwa Rais Barack Obama wa Marekani wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013. PICHA NA IKUL
No comments:
Post a Comment