KINANA AKWENA MELI KWENDA KYELA
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, asubuhi hii amemaliza ziara yake katika
wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na kuanza safari ya kwenda Kyela ambako
ataanza ziara katika mkoa wa Mbeya. Pichani, Kinana na wajumbe wea
sekretarieri ya CCM, Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi) na Dk. Asha-Rose
Migiro (Siasa na Uhusiano wa KIImataifa), wakiwapungua mikono wananchi
wa Nyasa, baada ya kupanda Mv Songea, kuanza safari ya kwenda Kyenla.
Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ernest Kahindi.
No comments:
Post a Comment