MIIIIIIIIIIIIII

Monday, November 18, 2013

DIAMOND ALIPOTIMBA KWENYE HARUSI YA PETER WA P-SQUARE HUKO LAGOS NIGERIA


Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond

Emanuel Adebayo & Diamond



Diamond & Iyanya



Peter & Emanuel Adebayo

Peter akiwa na mke wake Lola Omotayo

You might also like:

No comments:

Post a Comment