Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima
walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es
Salaam walihudhuria futari hiyo.

Baadhi ya watoto hao wakihudumiwa futari.

Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.

No comments:
Post a Comment