kimenuka huku
EBWANAEE!!! UMESIKIA KALI HII YA ''P FUNK MAJANI'' KUMPA KISAGO ADAM MCHOMVU? UKWELI HALISI SOMA HAPA
Jana jioni kuna habari za uzushi 'uongo' zilizokuwa zinasambazwa zikisema kuwa mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Pfunk Majani amepigana na mtangazaji wa Clouds Media Group Adam Mchomvu maeneo ya Leaders Club wakati si kweli .
Wakati uvumi huo unatokea Adam hakuwepo eneo hilo ambapo ''P-Funk'' alikuwa yupo kwenye mchakato wa maswala ya kamati. Adamu alitokea majira ya jioni na kushangazwa na uvumi huo ambao ulivuma katika mitandao ya kijamii.





No comments:
Post a Comment